Kampuni ya Clouds Entertainment Media Group usiku wa kuamkia leo imezindua kipindi kipya cha Tv kinachokwenda kwa jina la Take One, kitakuwa chini ya mtangazaji wake Zamaradi Mketema. Uzinduzi huo ulifanyika katika makao makuu ya ofisi hizo Mikocheni jijini Dar es Salaam ambapo mastaa kibao wa filamu nchini walijumika kufanikisha zoezi hilo la uzinduzi ambalo liliambatana na kupata chakula cha usiku.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment