Shabiki, hata mimi nayaweza....
Looh! ama kweli Akudo kuna burudani!!
Brother Man huyu, haa! isiwe issue kama vipi nami naweza baana!!!!
Chips kuku naye hakuwa mstari wa nyuma kukandamiza sebene hilo
Duuh! Mariam kama si yeye vileee!!!
Mambo yalikuwa hivi Ukumbini hapo
Mnenguaji wa Akudo Impact akiwa bize na staili ya pekechapekecha!!!!!!!!!!!
Prezi Dar wa bendi hiyo Christian Bella akiajibika jukwaani
Baadhi ya mashabiki wa Akudo Impact wakitimbwilika ndani ya ukumbi wa Mango Garden Kinodoni.

0 comments:
Post a Comment