Social Icons

Friday, July 2, 2010

SHAMSA NA MDOGO WAKE KATIKA POZI!!

Warembo ndani ya film Industry Shamsa Ford (aliye kaa kulia) na mrembo aliyedai kuwa ni mdogo wake jina hakumtaja wakishuhudia kwa pamoja baadhi ya sebene za Twanga Pepeta ndani ya Ukumbi wa Bilicanas Club jijini Dar.

0 comments: