
Kiongozi wa kundi la 'Makhirikhiri', Moses Malapela ‘Shumba Ratshega’ (kulia) akisalimiana na Mhariri Mtendaji wa Global, Richard Manyota, katikati ni Mhariri Mwandamizi wa Global, Sifael Paul na mwenye tai ni Meneja wa Global, Abdallah Mrisho.
Kundi mahiri la muziki wa asili kutoka nchini Botswana, maarufu kama 'Makhirikhiri' leo asubuhi lilitinga ndani ya Ofisi za Global Publishers wachapishaji wa Magazeti Pendwa ya Ijumaa, Championi, Risasi, Uwazi na Amani ambapo walipata fursa ya kuongea na wafanyakazi wa kampuni hiyo na kupata picha za pamoja
0 comments:
Post a Comment