Social Icons

Tuesday, June 8, 2010

JUMA CHIKOKA AKIWA NCHINI INDIA NA KAKIBURUDISHO KAKE




Mwigizaji anaekuja juu katika tasinia ya filamu nchini Juma Chikoka hivi karibuni akiwa nchini India kimasomo aliweza kuunda pozi mbalimbali na shemeji yetu na wadau wengine wa filamu akiwa na dhamira ya kupiga picha za ukumbusho kabla ya kurejea nchini Tz

0 comments: