Social Icons

Friday, May 21, 2010

JOSE MARA AKAMILISHA CHOZI LA YATIMA

Mwanamuzi nyota wa FM Academia ‘Wazee wa ngwasuma’ Joseph Michael ‘Jose Mara’ hatimaye amekamilisha albam yake mpya inayokwenda kwa jina la Chozi la Yatima.
Akiongea na muandaaji wa mtandao huu juzikati Jose Mara alisema kwamba albam yake iliyotayali inazaidi ya nyimbo kumi na mbili na kwamba iko katika mahadhi tofauti tofauti akiwa na maana ya kwa kila sitaili inapatikana katika albam hiyo ambayo anatarajia kuitupa kitaani hivi karibuni.

Jose mara akiajibika kwa juhudi zote jukwaani jana katika ukumbi wa Mango Garden Kinondoni jijini Dar es Salaam ambapo bendi yake ya FM Academia ilikuwa ikigandamiza burudani pande hizo

0 comments: