Friday, May 21, 2010
HAFISA KAZINJA KAPATIKANA DAR?
Mwanamuziki wa miondoko ya Bongo fleva Hafisa Kazinja hivi karibuni alipatikana akishuka ngazi katika jengo la Biashara Complex baada ya kuadimika mjini kwa muda mrefu, hapa anashuka ngazi akitokea ofisi za Bendi ya Akudo Impact zilizopo katika jingo hilo Mwanayamala Komakoma jijini Dar es Salaam.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment