Social Icons

Thursday, October 13, 2011

LULU: NITAZEEKA BAADAYE SANA!!


Na Erick Evarist


KINDA ‘expensive’ ndani ya kilinge cha filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ juzikati alinaswa akijishebedua mbele ya kadamnasi kuwa sura yake bado inaruhusu kuonekana mrembo mbele ya jamii hivyo wanaodhani itazeeka mapema watangoja sana.

Lulu alibambwa na paparazi wwa Mateja20, Oktoba 10 mwaka huu, akiwa na wasanii wenzake katika Viwanja vya Leaders Kinondoni jijini Dar es Salaam, akijishaua kwa raha zake kuwa bado ana mda mwingi sana dunia wa kutumia urembo wa sura yake hiyo.

Mashauzi hayo yalikuja baada ya kuona gazetini moja lililokuwa linaongelea juu ya sura yake ambapo naye alikuwa miongoni mwa warembo waliotajwa kuwa na muonekano wa baby face Bongo.

“Nani azeeke wakati umri unaruhusu ningeshangaa sana kama kwenye hii makala nisingekuwepo wakati sura yangu bado ina mauzo ya kutosha hapa town hebu nichekini kwanza ninavyo lipa maana nilivyo hata sina haja ya kutumia hata make up,” alisema Lulu kwa majigambo ya hali ya juu.

4 comments:

rosetarimo said...

we ni mzuri.uzuri wako utumie vizuri mdogo angu

Anonymous said...

ukiwa na ngozi nzuri vilevile unatakiwa usibadilishe damu tofauti tofauti kila mara namaananisha katika mahusiano ya mapenzi kwani kubadili damu mara kwa mara kunasababisha uso uzorote!

Anonymous said...

HUYU MTOTO CHIZI ANAKIMNILIA MAISHA SANA NINI KUSHIDODOA WE KINDA MTOTO WA NYOKA NI NYOKA TU MIMI NAMJUA MAMA YAKE VIZURI SANA NI CHIZI KWA KWENDA MBELE HAJUI KUCHAGUA WE UKIJA TWENDE TU BORA MSHIKO WAKO

Anonymous said...

HILI KINDA HALINA TOFAUTI NA WEMA JUU YA UZURI ALIONAO ATAISHIA KUFUNULIWA TU NA KILA MTU