WOLPER: IGENI NA STAILI HII…
Na Erick Evarist
“Hii ni staili yangu nitakayoitumia katika life yangu ya sasa tuone kama wataweza kuiga maana n
Je, kwenu nyie wasomaji wa Mateja20, mnasemaje kuhusiana na hili maana nalazimika kuwashilikisha kutokana nayeye kuanza kuichimbia biti staili hii kwa wengine wasije kumuiga.
Toa maoni yoko hapo chini halafu tuyafanyie kazi ili naye aweze kujua mnasema kwa hilo, maana mimi naamini hapa duniani hakuna kitu cha mtu mmoja.
Labda kama si kushabiana na mwanamuziki kutoka kiwanja, Amber Rose ingawa mwenyewe hajafunguka chochote kuhusu kuiga swagger hizi na kupitia maoni yenu tutamtafuta Wolper afunguke alau kiduchu.
4 comments:
kaiga kutoka kwa rose
Kapendeza mbay
Ndo tatizo la watu,wanapenda kujikweza sana.et waatu wasiige thats copy an paste mbona watu wengi waliekaa hiyo since sema anataka kuonekana yeye bab kubwa
Hana lolote malaya 2 huyo.
Post a Comment