Na Erick Evarist
KINDA ‘expensive’ ndani ya kilinge cha filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ juzikati alinaswa akijishebedua mbele ya kadamnasi kuwa sura yake bado inaruhusu kuonekana mrembo mbele ya jamii hivyo wanaodhani itazeeka mapema watangoja
Lulu alibambwa na paparazi wwa Mateja20, Oktoba 10 mwaka huu, akiwa na wasanii wenzake katika Viwanja vya Leaders Kinondoni jijini Dar es Salaam, akijishaua kwa raha zake kuwa bado ana mda mwingi sana dunia wa kutumia urembo wa sura yake hiyo.
Mashauzi hayo yalikuja baada ya kuona gazetini moja lililokuwa linaongelea juu ya sura yake ambapo naye alikuwa miongoni mwa warembo waliotajwa kuwa na muonekano wa baby face Bongo.
“Nani azeeke wakati umri unaruhusu ningeshangaa
4 comments:
we ni mzuri.uzuri wako utumie vizuri mdogo angu
ukiwa na ngozi nzuri vilevile unatakiwa usibadilishe damu tofauti tofauti kila mara namaananisha katika mahusiano ya mapenzi kwani kubadili damu mara kwa mara kunasababisha uso uzorote!
HUYU MTOTO CHIZI ANAKIMNILIA MAISHA SANA NINI KUSHIDODOA WE KINDA MTOTO WA NYOKA NI NYOKA TU MIMI NAMJUA MAMA YAKE VIZURI SANA NI CHIZI KWA KWENDA MBELE HAJUI KUCHAGUA WE UKIJA TWENDE TU BORA MSHIKO WAKO
HILI KINDA HALINA TOFAUTI NA WEMA JUU YA UZURI ALIONAO ATAISHIA KUFUNULIWA TU NA KILA MTU
Post a Comment