TIGO YASAIDIA SHULE YA MSINGI KAWAWA DAR
KAMPUNI ya Simu ya Tigo, imetoa msaada wa vibao 1,000 vya kuandikia kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Kawawa, iliyopo Kigogo, Dar es Salaam.
Mtalaamu wa Viwango wa kampuni ya simu ya mkononi Tigo, Pamela Shelukindo (kulia), akimkabidhi mwanafunzi kibao cha mapajani cha kuandikia.
Mtalaamu wa Viwango wa kampuni ya simu ya mkononi Tigo, Pamela Shelukindo (kulia), akimkabidhi Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Kawawa Masoud Mikidadi, kibao cha mapajani cha kuandikia.
Mtalaamu wa Viwango wa kampuni ya simu ya mkononi Tigo, Pamela Shelukindo kulia aktikati wa Mwalimu Mkuu, Masoud Mikidadi (kushoto), katikati ya wanafunzi

0 comments:
Post a Comment