Vodacom Miss Tanzania 2011 Sarha Esrael akiwa ameshikilia ufunguo wa gari lake muda mfupi baada ya kuibuka mshindi na kukabidhiwa gari jipya aina ya Jeep, lilikuwa limeengeshwa nje ya Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, yalipofanyikia mashindano hayo.
Msanii wa muziki wa Kizazi Kipya Bongo, Naseeb Abdull 'Diamond', akitumbuiza kwa hisia kali kwenye mpambano huo wa kumsaka mrembo wa Vodacom Miss Tanzania 2011, ndani ya Ukumbi wa mlimani City jijini Dar.
Bob Junior naye alipata shavu la kutumbuiza kwenye mpambano huo.
Mtangazaji wa Clouds FM, Miradi Ayo (kulia), akiwa katika pozi na mrembo mmoja nje ya Ukumbi huo ambapo alikuwa na shughuli ya kufanya mahojiano na baadhi ya wadau na wageni waarikwa waliohudhulia shughuli hiyo ya kumsaka Vodacom Miss Tanzania 2011.
Mmoja wa watumbuizaji aliyekuwa nje ya ukumbi huo akipiga muziki wa taratibu muda mfupi baada ya mchakato wa kumsaka Vodacom Miss Tazania kuanza.

Vodacom Miss Tanzania 2011,Sarha Israel (katikati), akiwa katika pozi la pamoja na Mshindi wa Pili,Tracy Sospeter (kulia), na mshindi wa tatu, Alexia William, muda mfupi baada ya kutangazwa kuibuka washindi wa shindano hilo, ambapo Sarha Israel atakuwa Vodacom Miss Tanzania 2011-2012 na amejinyakulia gari aina ya Jeep lenye thamani ya shilinngi milioni 72, lililotolewa na wadhamini wakuu kampuni ya simu za mkononi Vodacom Tanzania na Kampuni ya kuuza magari ya CFAO MOTORS ya jijini Dar es salaam.
Mmoja wa washiriki akiwa katika vazi la jioni usiku huu wakati wa shindano la Vodacom Miss Tanzania kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.
Mwimabji kutoka nchini Uganda Juliana akiimba wakati wa shindano hilo lililofanyika usiku huu kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.
1 comments:
ma miss walikuwa poa lakini ufahamu wa kujieleza ni 0 kashinda aliyeshinda ila kwa maoni yangu sijui km tutaweza huko tuendako kwani hana vigezo vya kutuvusha kule tuendako ila nampongeza san
Post a Comment