Social Icons

Monday, September 12, 2011

MISS TANZANIA YAKABIDHI VYETI KWA WADHAMINI WAKUU NA WAREMBO

Mkurugenzi wa Giraffe Ocean view Hotel Dr. Charles Bekon, akipokea cheti cha uthamani wa udhamini wa Vodacom Miss Tanzania 2011, katika hotel hiyo shindano hilo lilimalizika jana(juzi) kwenye Ukumbi wa Mlimani City.
Mrs Dr.Charles (kushoto), akiwa na Miss Tanzania 2011,Salha Israel(katikati),na Dr Bekon, wakati wa kukabidhiwa vyeti hivyo kwenye Hoteli ya Giraffe Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.

Miss Tanzania 2011 Salha Esrael, akitowa shukurani zake kwa kamati ya Miss Tanzania mwaka huu na wadau wote waliyofanikisha zoezi hilo hadi yeye kupatikana mshindi.
Familia ya Miss Tanzania 2011, Salha Israel ikiwa katika pozi la pamoja muda mfupi baada ya kukabidhiwa vyeti vya ushiriki wake na zawadi kutoka kwenye kamati ya shindano hilo, yaliyofanyika katika Hoteli ya Giraffe.
Hawa ndiyo warembo waliyoingia top 3 na kunyakuwa mataji hayo.

0 comments: