LINAH APAGAWISHA VILIVYO BBM PARTY, MBALAMWEZI BEACHWasanii wa muziki wa kizaz kipya Bongo, Estelina Sanga 'Linah' (kulia), akiserebuka na mmoja wa mashabikiwake anayejulikana kwa jina la Koro, ambaye pia ni shabiki namba moja wa Bendi ya Akudo Impact muda mfupi baada ya kuomba mtu wa kuimbanaye katika tamasha hilo.
Kundi la Under Zone, kutoka pande za Temeke jijini Dar es Salaam, ambalo pia lilijizolea umaarufu mkubwa baada ya kushinda katika shindano la kudansi lililoshirikisha mikoa mitano lililoenda kwa jina la Serengeti Dansi Fiesta 2011, wakitumbuiza jana katika tamasha la BBM, lililokuwa limeandaliwa na G5click, kwa udhamini mkubwa wa Global Publishers na Clouds media Group, lililofanyika katika Ufukwe waMbalamwezi Mikocheni jijini Dar es Salaam .
Wasanii wa THT, Elias Barinaba (kushoto), na Estelina Sanga 'Linah' wakitumbuiza kwenye tamasha hilo.
Baadhi ya waandaaji wa tamasha hilo, Nelly (wa kwanza kulia), na Ombeni anayemfuatia kulia kwake, wakiwa kwenye pozi na wadau wao waliyohudhulia katika tamasha hilo.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Mwasiti Almasi, akiwa katika pozi ndani ya Ufukwe huo.
Wasanni wa muziki wa kizazi kipya kutoka THT, Estelina Sanga 'Linah' (kulia), akiimba jukwaani na Barnaba katika tamasha hilo.
Mmiliki wa Top Band Khaleed Mohamed 'TID', akitumbiza kwenye tamasha hilo.
Ngwea nae hakuwa nyuma kuvunja yai katika wimbo mpya alioshirikishwa na TID katika tamasha hilo
Kikundi cha makomandoo wakiwajibika jukwaani hapo.
Baadhi ya mashabiki waliojitokeza Ufukweni hapo wakiserebukwa kwa furaha tele.
DJ Zirro wa Clouds Fm, akiongea jambo na mmoja wa wadau wa tamasha hilo.
Mtangazaji wa kipindi cha XXL kinachurushwa hewani katika kituo cha Clouds FM, B12 (wa pili kulia),

0 comments:
Post a Comment