Social Icons

Friday, July 22, 2011

ZILIZO PENDELEWA NA MATEJA20 LEO!

Jacqueline Patrick akiwa kwenye pozi na mbwa wake
Jack Uso kwa uso na Chalz Baba
Duh! kama baga huwa zipoi na zenye ubwa huu basi mimi nanenepa wiki hii!!!
Mambo ya Jack hayo ndani ya fukwe za Coco
... akionyesha maumbile yake zaidi
... ndivyo alivya kwa nje zaidi


Jack akipozi na rafiki yake
Hapa kama kuna utata ...?
... Kwenye bech za maana zaidi
B12 (kulia), akiwa na Jack
... katika pozi na vijibwa vyake

NAPENDA kuwafahamisha kwamba wadau wangu, kolamu hii, ambayo tumeipa jina la ZILIZOPENDELEWA NA MATEJA20, tutakuwa tukikuletea kila siku.
na tunaruhusu kwa mtu mwenye picha za aina hii anaweza kutuma kwenye email yetu iliyopo hapo juu.

0 comments: