Social Icons

Friday, July 22, 2011

HAPPY BIRTHDAY B12

B 12 KATIKA POZI

BILA shaka leo ni siku ambayo alizaliwa rafiki yangu wa ukweli, Hamis Mandi 'B 12' ingawa sijafahamu vizuri atakuwa anatimiza miaka mingapi na kwa kuwa yupo atatueleza na tutafahamu zaidi.

0 comments: