MSANII wa Muziki wa Kizazi Kipya Bongo,Naseeb Abdull 'Diamond' akiimba wimbo Nitalejea jukwaani na kipenzi chake Wena Isaac Sepetu,siku ya Fiesta Morogoro.Wema alitia aibu kimtindo katika onesho hilo, muda mfupi baada ya kumaliza kukamua wimbo huo na mpenzi wake.
Babuu wa Kitaa, naye hakuwa nyuma kuonyesha swagger zake kwa Wema.
0 comments:
Post a Comment