Social Icons

Tuesday, July 5, 2011

SIMBA YATINGA NUSU FAINALI YA KAGAME

Haruna Moshi 'Boban'(kulia), akimtoka beki watimu ya Bunamwaya ya Uganda, wakati wa mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Kagame uliochezwa leo jioni kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

WACHEZAJI wa timu ya Simba wakishangilia baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Bunamwaya ya Uganda, katika mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Kagame, uliochezwa leo jioni kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

Kwa ushindi huo, Simba itakutana timu ya El Mereikh ya Sudan, katika mechi ya nusu fainali itakayochezwa mwisho mwa wiki hii, ambapo El Mereikh tayali imeshaingia baada ya kuifunga timu ya Ulinzi ya Kenya katika mchezo uliochezwa mapema leo mchana, na kufunga kwa njia ya matuta.
Picha: Sufiani blog.

0 comments: