Social Icons

Tuesday, July 5, 2011

MISS TEMEKE YAJA KWA KISHINDO!

BAADHI ya Washiriki wa Kinyang'anyiro hicho, wakiwa kwenye pozi tofauti wakati wa mazoezi yanayondelea ndani ya Ukumbi wa Tcc Club Chang'ombe Temeke jijini Dar es Salaam.


0 comments: