Wanamuziki wa bendi za Top Band na Msondo Music Band, Tx Junior (kulia) na Alawi Junior wakifurahia burudani. Pichani juu: Mastaa wa tasnia za filamu na muziki wa Bongo Fleva, Khaleed Mohamed ‘TID’ (kushoto) na Steven Kanumba ‘The Great’,…
Wanamuziki wa bendi za Top Band na Msondo Music Band, Tx Junior (kulia) na Alawi Junior wakifurahia burudani. Pichani juu: Mastaa wa tasnia za filamu na muziki wa Bongo Fleva, Khaleed Mohamed ‘TID’ (kushoto) na Steven Kanumba ‘The Great’, wakiteta jambo ndani ya Bilicannas wakati wa burdani iliyotolewa na African Stars International ‘Twanga Pepeta’.
Kanumba akiwa na mmoja wa mashabiki wa filamu zake katika pozi.
0 comments:
Post a Comment