Social Icons

Sunday, July 10, 2011

SERENGETI FIESTA YAMUUMBUA SUGU MBEYA


Msanii wa Hip Hop, Joh Makini akionyesha uwezo wake jukwaani hapo.
Wasanii wa kundi la Tip Top Connection, wakipagawisha stejini.
Askari akiwa amemkwida mmoja wa mashabiki baada ya kutaka kuvuruga amani uwanjani hapo.
Wewe naona unataka kutuvurungia utulivu hapa ngoja tuhifadhi kwanza.
Msanii wa Hip Hop, Roma Mkatoriki, akitumbuiza uwanjani hapo.
Kijana akichezea kichapo kutoka kwa Askali waliokuwa wakidhibiti usalama wa raia mahali hapo.
Askari akiwa amemkwida mmoja wa mashabiki baada ya kutaka kuvuruga amani uwanjani hapo.
Askari wakiwa tayali kwa usalama uwanjani hapo
Baadhi ya Askari polisi wakilinda usalama wa raia na Mbwa, kwenye Viwanja hivyo.
Juma Nature, akisongesha kundi zima la Wanaume Halisi.
Jafaray, (wa tatu kutoka kushoto), akiwa kwenye pozi na baadhi ya askari waliokuwa wakilinda usalama wa wasanii dani ya Hoteli hiyo.
Mtangazaji wa kituo cha Generation FM ya Mbeya, Martin Kahinga ‘Tiny Dady’, (kulia), akiwa kwenye pozi na baadhi ya wasanii walitumbuiza kwenye tamasha la Fiesta.

Kiongozi wa kundi la Tip Top Connection, Babu Tale (kulia),akiwa kwenye pozi na marafiki zake.
Inspector Haruni, akiwa kwenye pozi na Dipak.
Kutoka kushoto, DJ Choka na Jafaray,wakiwa kwenye pozi la pamoja na mashabiki wao ndani ya Hoteli ya Mount Livingstone Mbeya.

ONESHO la Serengeti Fiesta 2011 ‘Hakuna Majoto’, hatimaye limemuumbua Mbunge wa Mbeya mjini Mh, Joseph Mbilinyi ndani ya Viwanja vya Sokoine Mbeya, ambapo mashabiki kibao wa burudani wamejitokeza,
Kushuhudia burudani zilizokuwa zikitolewa uwanjani hapo na wasanii kibao wa Muziki wa kizazi kipya tofauti na matarajio yake.



0 comments: