Social Icons

Saturday, July 9, 2011

SERENGETI FIESTA YAMUUMBUA SUGU MBEYA






Joseph Haule ‘Profesa Jay’ akiwa bize na mashabiki wake.
<!--[if gte mso 9]> Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 Bell 8, akikonga nyoyo za mashabiki jukwaani hapo.



Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4

Msanii wa Bongo Flava Mohamed Zimbwe ‘Top C’ akiwajibika jukwaani.


Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4

Rache Joseph, kutoka THT, akionyesha uwezo wake jukwaani.


Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4

Msanii wa kizazi kipya, Mwanaisha Said Mnyange ‘Diana’ akikamua stejini na shabiki wake.


Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 Mtangazaji wa Clouds Fm Hamis Mandi ‘B12’, akiwa kwenye pozi tayali kwa kuongoza ratiba za Fiesta.

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Rachel Joseph ‘Rachel’ (kulia), akiwa kwenye pozi ndani ya gari la wasanii na Roma Mkatoroki, na Rafiki yake.


ONESHO la Serengeti Fiesta 2011 ‘Hakuna Majoto’, hatimaye limemuumbua Mbunge wa Mbeya mjini Mh, Joseph Mbilinyi ndani ya Viwanja vya Sokoine Mbeya, ambapo mashabiki kibao wa burudani wamejitokeza,

Kushuhudia burudani zilizokuwa zikitolewa uwanjani hapo na wasanii kibao wa Muziki wa kizazi kipya tofauti na matarajio yake.



0 comments: