Vodacom Miss vyuo vikuu 20011 Glori Loli, akiwapungia mkono watazamaji baada ya kutangazwa mshindi.
Miss vyuo vikuu Glori, akiwa na washindi wenzake Estol Gerald (kushoto) na Wema Mwanga, mshindi wa tatu kulia. Miss vyuo vikuu (katikati), akipanguswa macho na mshindi namba tatu Ester Gerad, baada ya kumwanga chozi la furaha muda mfupi baada ya kutajwa mshindi.
0 comments:
Post a Comment