Social Icons

Tuesday, July 5, 2011

DEREVA ACHEZEA KIPIGO KUTOKA KWA SHEMEJI YAKE NUSU KUFA


John Gwau akipata matibabu Hospitalini muda mfupi baada ya kukumbwa na dhuluba hilo.

DEREVA wa Kampuni ya usafirishaji ya ‘Rich On’ ya jijini Dar es Salaam, John Gwau (35), mapema leo, amekutwa na kamera yetu akiwa hoi kitandani baada ya kunusulika kuuawa na shemeji yake aliyempiga chupa ya bia kichwani, kwa madai ya kufuliwa nguo na dada yake ambaye walikosana hivi karibuni.

Gwau aliyelazwa kwenye wadi namba nne katika hospitali ya mkoa wa Iringa,
amesema, alikumbana na dhahama hilo Julai 4 mwaka huu maji ya saa sita usiku eneo la Mughanga mjini humo.


0 comments: