Washiriki wa kumsaka miss Temeke 2011, wakitoa shoo kwa mashabiki wao
Shoo ya mamiss hao ilichukuwa nafasi namna hii
Mshereheshaji wa mashindano hayo, akimhoji jambo, mkurugenzi wa mashindano hayo, Hashim Lundenga, muda mfupi kabla ya mashindano hayo kuanza.
... akimhoji jambo miss Temeke 2010, anayemaliza muda wake
Banana Zorro (kulia), akiwa juu ya jukwaa na mshereheshaji mwenzake wa mashindano hayo
Baadhi ya wanamuziki wa B Band, wakiimba kwenye mashindano hayo
... wakipita kuonyesha vazi la jioni
... na vazi la ubunifu
Miss Kurasini namba mbili 2011, Naifat Ally, akionyesha vazi la ubunifu kwenye mashindano hayo
Dada wa Naifat, Mariam Aziz, akifuatilia mashindano hayo kwa furha tele
Mariam Aziz (kushoto), na Shosti yake Mariam B... wakifuatilia mchakato huo
Mratibu wa mashindano hayo Benny Kisaka (kushoto katikati), akikata keki jukwaani hapo, kwajili ya kujipongeza ambapo siku hiyo pia ilikuwa ni tarehe ya kuzaliwa kwake.
Baadhi ya marafiki na jamaa zake Kisaka, wakimpelekea keki nyingine jukwaani hapo
Naifat Ally, akiwa kwenye vazi la ufukweni
Washiriki wengine wakiwa kwenye vazi la ufukweni
Baadhi ya mashabiki waliohudhulia kwenye mpambano huo wakifuatilia kwa makini mchakato mzima
Washiriki wa mpambano huo wakiwa kwenye picha ya pamoja
Baadhi ya warembo waliofauru kuingia kwenye tano bora ya mashindano hayo
Washiriki wa kumaska miss Kinondoni wakiwa kwenye picha ya pamoja, muda mfupi baada ya kupita kutamburishwa jukwaani hapo, ambapo pia wanatarajiwa kuchuwana Julai 23 mwaka huu ndani ya ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Msanii wa miondoko ya mchiliku, AT akitumbuiza kwenye mashindano hayo.
0 comments:
Post a Comment