Mfanyabiashara wa Soko la Makumbusho, Pius Ruta ‘Mzee wa Pamba’ akifuatilia onesho la Akudo huku akibadilisha mawazo na mchumba wake mpya aliyefahamika kwa jina moja la Prisca.
Wanenguaji wa Extra Bongo wakifanya…
Mfanyabiashara wa Soko la Makumbusho, Pius Ruta ‘Mzee wa Pamba’ akifuatilia onesho la Akudo huku akibadilisha mawazo na mchumba wake mpya aliyefahamika kwa jina moja la Prisca.
Wanenguaji wa Extra Bongo wakifanya majamboz ndani ya kambi yao mpya ya Zhonghua Garden, kama walivyonaswa na kamera yetu usiku wa kuamkia leo.
0 comments:
Post a Comment