Miss Temeke anayemaliza muda wake, akiaga kwa mashabiki wake
Miss Temeke 2011, Husna Twalib, akipunga mkono wa furaha kwa mashabiki zake mara baada ya kutajwa mshindi
Husna Twalib (katikati), akiwa kwenye pozi na mshindi namba mbili Cythia Kimasha (kushoto), na mshindi wa tatu Mwajab Juma
Furaha ilikuwa hivi kwa Husna na wenzake hao.
Ndugu zake na Miss Temeke 2011, wakiwa kwenye pozi la pamoja
Mmoja wa wanahabari akichukua maelezo kutoka kwa mshindi wa shindano hilo Husna Talib
Bibi huyu uzalendo ulimshinda na kuamua naye kujipanga kwa pozi hilo
Baadhi ya jamaa zake na Miss Temeke huyo wakipozi naye mahali hapo.
0 comments:
Post a Comment