Papa B2C (wenye sharti nyekundu kulia),akibadilishana mawazo na baadhi ya wanamuziki na mkurugenzi wa bendi ya African Stars International 'Twanga Pepeta' Asha Baraka (mwenye kilemba katikati), eneo la kanisa la KKT Mangomeni Usalama, muda mfupi kabla ya kutoa heshima za mwisho kwa marehemu, Boniface Kasyanju 'Babu Bonny'.
Jeneza lililokuwa limebeba mwili wa marehemu likiwa kanisani hapo
Baadhi ya Wanenguaji wa bendi ya African Stars International 'Twanga pepeta' na ndugu na jamaa wa marehemu, wakipita kutoa heshima za mwisho.
Picha ya enzi za uhai wa Babu Bonny, ikiwa juu ya jeneza
Mmoja wa waombolezaji akiwa amedhilai muda mfupi baada ya kushindwa kuvumilia wakati wa kuaga mwili wa marehemu.
... akibebwa kutolewa nje ya Kanisa hilo.
Mambo yalikuwa hivyo
Baadhi ya wanamuziki wa bendi ya FM Academia wakipita kutoa heshima za mwisho.
Jesus akipita kuaga mwili wa aliyekuwa meneja wake.
... uzalendo ulimshinda na kumwaga kilio
Mama mzazi wa marehemu (mwenyenguo na kilemba cheupe), akilia kwa machungu.
...uzalendo uliendelea kuwashinda namna hiyo
Ilikuwa ni vigumu kujizuia mahari hapo
0 comments:
Post a Comment