Social Icons

Tuesday, July 12, 2011

HAPPY BRITHDAY CARINA CHALZ BABA

Aunt Ezekiel akiwa kwenye pozi



Baadhi ya wanenguaji wa Twanga Pepeta wakibadilishana mawazo mahali hapo

Kimwana wa Twanga Pepeta 2011 (kushoto), akiwa kwenye pozi mahali hapo

Jack wa Maisha Plus naye alikuwepo



Kajala Masanja akishuhudia ishu hiyo.

Baba mdogo wa Carina, Petty Man, akiwa jiiiii... kwa urabu

Dude naye hakuwa nyuma kutupia Gambe mahali hapo.



Mmoja wa washereheshaji wa Birthday hiyo, Hassani Kisanora, akiwajibika.

Baba wa mtoto huyo, Chalz Baba (katikati), akiseti muziki mahali hapo.

Shilole (kushoto), akiwauliza wageni vinywaji wanavyokunywa.

Carina & Jack

Carina na Jack wakiwa kwenye pozi.

Mtoto anayetimiza umri wa miaka 2 akiwa kwenye pozi na wanzake

Mpiga Drums wa Twanga Pepeta, James Kibosho (katikati), akiwa na washikaji zake.

Msanii wa filamu Bongo, Keny akizama kwenye shughuli hiyo.

Baadhi ya wageni waarikwa wakiwa tayali kwa shughuli hiyo.

Msanii wa filamu Bongo, Shilole (kushoto), akimvuta mkono mshreheshaji mwenzake tayali kwa kumtambulisha kwa wageni waarikwa.
Posted by Picasa

0 comments: