KIONGOZI wa Machozi Band, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ amefanya maamuzi magumu ya kuivunja ngome yake ya Mzalendo Pub leo alfajiri aliyokuwa akiitumia kutumbuiza kila Ijumaa, ambapo amesema sasa siku hiyo ataitumia kutoa burudani ukumbi wa Nyumbani Lounge uliopo Namanga jijini Dar. PICHANI…
KIONGOZI wa Machozi Band, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ amefanya maamuzi magumu ya kuivunja ngome yake ya Mzalendo Pub leo alfajiri aliyokuwa akiitumia kutumbuiza kila Ijumaa, ambapo amesema sasa siku hiyo ataitumia kutoa burudani ukumbi wa Nyumbani Lounge uliopo Namanga jijini Dar. PICHANI JUU Jaydee akiweka sawa nywele zake kabla ya kutangaza uamuzi huo. Picha inayofuata Jaydee akitumbuiza mara ya mwisho ukumbini hapo, kushoto ni mwanamuziki wa bendi hiyo, Juniko Flower na kulia ni Mao Santiago.
Msanii wa filamu Aunt Ezekiel (kushoto) na Kimwana Manywele namba mbili msimu uliopita Husna Iddi ‘Sajent’ nao walikuwa ukumbini humo wakati Jaydee akitangaza maamuzi magumu.
0 comments:
Post a Comment