Social Icons

Saturday, June 18, 2011

TIGO YAJA NA PROMOSHENI MPYA YA JIPANGE NA KIMAISHA

Meneja Uhusiano wa Tigo Jackson Mmbando (Kushoto) akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana wakati wa uzinduzi wa promosheni mpya ya Jipange na Kimaisha inayoendeshwa na Kampuni ya Tigo. Kulia ni Pamela Shelukindo na Tawonga Mpore. Picha ya pili Mmbando akionyesha kipeperushi cha promosheni hiyo.



Meneja Uhusiano wa Tigo Jackson Mmbando (Kushoto) akiwa na Pamela Shelukindo na Tawonga Mpore wakati wa uzinduzi wa promosheni ya Jipange na Kimaisha inayoendeshwa na Kampuni ya Tigo. Promosheni hiyo ilizinduliwa jana jijini Dar es Salaam.

0 comments: