Mkuu wa Mkoa wa Mara, Enos Mfuru (kushoto) akimkabidhi Askari Simon Mlashani tuzo ya heshima na ujasiri kwa oparesheni zilizofanyika na kufanikisha uchaguzi mkuu wa mwaka jana, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Polisi (Police day) Aprili 2, 2011.
Askari wakiwa katika paredi wakati wa maadhimisho ya siku hiyo mbele ya mgeni rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Mara, Enos Mfuru (hayupo pichani).
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Enos Mfuru (aliyesimama) akiwa na Kaimu Kamanda wa Tarime na Rorya, Sebastian Zakharia na Mkuu wa Wilaya, John Henjewele wakati wa maadhimisho ya siku hiyo.
0 comments:
Post a Comment