Social Icons

Saturday, April 2, 2011

USIKU DAR WATU NI BURUDANI KWENDA MBELE

Baadhi ya mashabiki wa Mapacha Watatu wakicheza mduara.

Usiku wa kuamkia leo mpigapicha wetu alizungukia katika kumbi za Mango Garden ambako kulikuwa na onyesho la Bendi ya Akudo Impact na katika ukumbi wa Makumbusho ambako kulikuwa na onyesho la Bendi za Mashujaa na Mapacha Watatu.

Rapa mahiri wa Bendi ya Mashujaa Musica, Sauti ya Radi akirap

Wanenguaji wa Bendi ya Akudo wakionyesha umahiri wao wa kunengua

Mashabiki wa bendi ya Mashujaa wakiserebuka.

Mkurugenzi wa Bendi ya Mashujaa, Mamaa Sakina akicheza kwa staili ya aina yake huku akiwa amekaa katika kiti.

Mdau mkubwa wa burudani, Bahati Singh (kulia) akiwa na mkewe Mama Ife wakifuatilia kwa makini onyesho la Bendi za Mashujaa na Mapacha watatu.

Msanii wa maigizo Dotnata akiwa na mumewe wakipozi ili wapigwe picha

0 comments: