Miriam Lukindo akiwa akiongea jambo katika mkutano huo kushoto kwake ni Mkurugenzi wa kampuni ya Haak Neel Production Godfrey Mahendeka.
MUIMBAJI nyota wa nyimbo za Injili nchini, Miriam Lukindo akishirikiana na kampuni ya Haak Neel Production, leo walikutana na waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari nchini katika hoteli ya Atrium iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kuzungumzia maandalizi ya uzinduzi wa albamu yake ya video iliyobeba jina la ‘Ni asubuhi’ utakaofanyika Aprili 10, 2011 katika ukumbi wa Diamond Jubilee.
Mkurugenzi wa Haak Neel Production, Godfrey akizungumza jambo.
Miriam akihojiwa na mwandishi wa gazeti la Tanzania Daima, Dina Ismail (kulia).
0 comments:
Post a Comment