Askofu Severene Niwemugizi wa Jimbo la Rulenge akimpaka majivu Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika ibada fupi iliyofanyika kwenye makazi ya Askofu wa Ngara leo. Mheshimiwa Pinda yuko kwenye zaiara ya Mkoa wa Kagera.
Askofu Severene Niwemugizi wa Jimbo la Rulenge akimpaka majivu mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda katika ibada fupi iliyofanyika kwenye makazi ya Askofu wa Ngara leo. Mama Pinda amefuatana na Mheshimiwa Pinda kwenye zaiara ya Mkoa wa Kagera.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment