Social Icons

Tuesday, March 15, 2011

WATANZANIA WALIOTEKWA NA MAHARAMIA WAWASILI NCHINI

Sehemu ya baadhi ya watanzania ambao walitekwa na Marahamia wa Kisomali wakisubiri utaratibu kwenye Uwanja wa Ndege wa w Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Muda mfupi baada ya kuwasili nchini Dar es Salaam leo Salaam.
Picha na Mdau Robert Okanda

0 comments: