skip to main |
skip to sidebar
ASASI MBALIMBALI ZAKUTANA LEO DAR ES SALAAM
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Bw. Joseph Butiku (katikati) akitoa maelezo ya awali kuhusiana na lengo la kongamano la asasi za kiraia lililofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Bi. Grace Mujuma Mratibu wa Kitaifa wa (ICGLR) na Sekretarieti ya ICGLR na kushoto ni Nathan Byamukama afisa Sekretarieti ya Mkutano wa Kimataifa juu ya Ukanda wa Maziwa Makuu -Bujumbura, Burundi.
0 comments:
Post a Comment