skip to main |
skip to sidebar
MARK MWANDOSYA WIKI YA MAJI NA SIKU YA MAJI DUNIANI
Waziri wa Maji,Profesa,Mark Mwandosya (kushoto),akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Injinia Christopher Sayi, kabla ya kuzungumza na waandishi wa habari leo, makao makuu ya Wizara ya Maji, Ubungo, Dar es Salaam,kutangaza kuanza kwa maadhimisho ya wiki ya maji na siku ya maji Duniani, yanayoanza kesho. Kwa mujibu wa Profesa Mwanadosya Maadhimisho hayo Kitaifa yanafanyika mkoani Mwanza.Katikati ni, Mwenyekiti wa Maalizi ya Maadhimisho hayo, Lista Kongola.
0 comments:
Post a Comment