Social Icons

Thursday, March 10, 2011

SKENDO YA USAGAJI INANITESA- NISHA


Na Erick Evarist
Staa wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’, anadai kuwa hana raha kwani anateswa na skendo ya usagaji.

Akizungumza na Amani ndani ya Viwanja vya Leaders Kinondoni, Dar es Salaam, Nisha alisema kuwa baada ya kufunguka kuhusu ishu hiyo, ukiachilia mbali ndugu lakini hata mpenzi wake hakufurahishwa hata kidogo.

“Hii ishu ya usagaji imenitesa sana hata mpenzi wangu ‘amekasirika ile mbaya. Naomba mashabiki wangu wasinipotezee,”alisema Nisha aliyekimbiza kwenye Filamu ya Family Disasters.

0 comments: