Hapa ni maeneo ya sinza afrika sana,Sio mara moja au mbili kutokea kwa msongamano wa magari sehemu hii katika makutano ya barabara itokayo TRA,imekua ni kero kwa wananchi kwani msongamano huu hutokea kila siku kuanzia sa 12 jioni na kuendelea, hii husabaisha kutokea kwa ajari kama ilivyotokea hapo baada ya gari mbili kusuguana na kusababisha msongamno mkubwa hapo picha na hussein mahamoud
Tuesday, March 15, 2011
MSONGAMANO UMEPAMBA MOTO
Hapa ni maeneo ya sinza afrika sana,Sio mara moja au mbili kutokea kwa msongamano wa magari sehemu hii katika makutano ya barabara itokayo TRA,imekua ni kero kwa wananchi kwani msongamano huu hutokea kila siku kuanzia sa 12 jioni na kuendelea, hii husabaisha kutokea kwa ajari kama ilivyotokea hapo baada ya gari mbili kusuguana na kusababisha msongamno mkubwa hapo picha na hussein mahamoud
Labels:
www.mateja20.blogspot.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment