Social Icons

Saturday, March 12, 2011

MOHAMMED DEWJI ATINGA NYUMBANI LOUNGE KUMPONGEZA JAY DEE

Mhe. Mohammed Dewji Mbunge kijana mpenda maendeleo anayependa kuona mtu anafanikiwa Pichani akimpongeza Lady Jay Dee kwa hatua aliyopiga mpaka kufungua mgahawa na kujikita kwenye ujasiriamali mali zaidi.
Mwanamuziki Lady Jay Dee akimkaribisha Mbunge wa Singida Mjini Mhe.Mohammed Dewji (MO) ambaye alikuwa ni miongoni mwa wageni waalikwa katika Uzinduzi wa kiota kipya cha NYUMBANI LOUNGE kilichozinduliwa rasmi usiku wa kuamkia jana.

0 comments: