Social Icons

Saturday, March 12, 2011

RAIS JAKAYA KIKWETE ATEMBELEA KIKOSI CHA ANGA CHA JWTZ

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiteremka kutoka kwenye ndege ya kijeshi ya JWTZ JW 9242 F 7 G kutoka china wakati alipotembelea kikosi cha Anga Dar es Salaam Jana
Mtaalamu msaidizi wa rubani wa ndege za kijeshi za Jeshi la China,aliyetambuliwa kwa jina moja la Gao, akimwonesha Rais Jakaya Kikwete namna urushaji wa ndege ya kijeshi kutoka China wakati Rais alipotembelea Kikosi cha Anga cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Dar es Salaam.
Rais Jakaya Kikwete, akiangalia ndege ya kijeshi JW 9242 F 7 G wakati alipotembelea kikosi cha Anga cha JWTZ Airwing Dar es salaam jana.Picha Zote na Ofisi ya Makamu wa Rais

0 comments: