Wanamuziki wa bendi za The African Stars na Msondo Ngoma baba ya muziki wakitumbuiza juzi katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kuadhimisha miaka 100 inayofanyika kila mwaka March 8.
Siku ya Wanawake Duniani ilianza kuadhimishwa mwaka 1911 wakati makundi ya wanawake nchini Marekani yalipokusanyika na kupinga udhalilishaji, ukandamizaji, uonevu na ubaguzi wa kijinsia hususani sehemu za kazi.

0 comments:
Post a Comment