Meya wa manispaa ya Ilala Mheshimiwa Jelly Slaa akiwa ndani ya moja ya magari matatu mapya ya kubebea taka ngumu pamoja na vifaa maalumu vya kuhifadhia taka ngumu. Magari hayo yamenunuliwa na Halmashauri ya manispaa ya Ilala kwa thamani ya shilingi 800 milioni. Zoezi la kukabidhiana magari hayo lilifanyika leo katika viunga vya kampuni INCAR Tanzania,barabara ya Pugu jijini Dar es Salaam. Meya wa Manispaa ya Ilala Mheshimiwa Jelly Slaa pamoja na viongozi wengine wa manispaa wakikagua magari mapya waliyoyanunua kwa ajili ya kuzolea taka ngumu pamoja na vifaa vya kuhifadhia taka ngumu mapema leo.
Tuesday, March 15, 2011
MANISPAA YA ILALA YANUNUA MAGARI YA KUZOLEA TAKA KWA SHILINGI MILLIONI 800
Labels:
www.mateja20.blogspot.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment