Social Icons

Thursday, March 17, 2011

MAMMA MIA 2011 ILIVYO NOGA MOVENPICK ROYALPALM HOTELM


Mbunifu wa mavazi nguli nchini Mustafa Hassanali akiwa na toleo lake jipya la kiafrika ndani ya ukumbi wa Movenpick Hotel katika onyesho lake la Mamma
Toleo la Mustafa Hassanali lililopamba usiku wa onyesho la Mamma MIA katika viwanja vya hoteli vya Movenpick jijini
Mwanamitindo akiwa na vazi la Mustafa Hassanali katika onyesho la Mamma MIA lililofanyika Movenpick Hotel

0 comments: