Mwanamuziki Kiwango cha juu wa Top Band, Alawi Junior, akiwa ametupia vitu na kuweka pozi kama hivi........
Unaona baaaanaaaaaaa...
Habari yako binafsi baaaanaaaaaaaa..........
Brother man Matawi ya juu Bongo, Petit man, akijikamulia kilaji siku Top bendi ilipokuwa ikmwaga burudani zake Club Bilicanas.
Wadau wa Top Band wakionyesha Swagger zao.
Mashalobaro katika pozi...
Ommy Dimpoz akimkatisha nyonga mrembo huyo.
...Akimchombezea shabiki wake.

Ommy Dimpoz (kushoto), akimchezesha shabiki wake. Mpiga besi wa bendi hiyo akikonga nyoyo za mashabiki wake Mwanamuziki wa bendi hiyo Alawi Junior naye akitupia Swagger zake. TID Akionyesha nyonga yake... ... akiwajibkika jukwaani.
TOP BAND inayo piga muziki wa Kizazi kipya Bongo na kuongozwa na Khalid Mohamed 'Top in Dar TID' Jumanne iliyopita, kamera yetu ilitembelea katika ukumbi huo na kukuta ikiwajibika kuwaburudisha baadhi ya mashabiki wao walifulika pande hizo.
0 comments:
Post a Comment