Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Lazaro Nyalandu akibadilishana hati za makubaliano na Makamu Mwenyekiti wa Kampuni ya and China Dalian International Economic and Technology Cooperation Group Co. Ltd (CDIG), Hu Fan katika ubalozi wa Tanzania mjini Beijing juzi ikiwa ni makubaliano ya utekelezaji wa uzalishaji wa Umeme wa upepo mkoani Singida. Shuirika la Maendeleo la Taifa NDC limeingia ubia na kampuni ya kichinia kwa jili ya kuzalisha umeme huo.
Picha na George Manongi
Picha na George Manongi
0 comments:
Post a Comment