Calvin akiwa katika Picha ya Pamoja na Mkewe Elizabeth Muda mffupiu baada ya kufunga pingu za Maisha
Aliyekua Mshiriki na Mshindi wa Big brother Revolution Calvin Chuwang kutoka Nchini Nigeria na Dada yetu Elizabeth Gupta ambaye nae alikua Mwakilishi wa Tanzania Hivi karibuni waliamua kufunga ndoa ya nguvu iliyofana sana huko Abuja-Nigeri
1 comments:
hongera eliza
Post a Comment