Social Icons

Wednesday, March 16, 2011

HAPO VIPI !!!!


Hapo sawa Angel katika pozi
Benny akiwa katika pozi la mawazo, huku Tino akiendelea kukandamiza glass ya ......... Hizo za mezani zote zimeshanunuliwa Warembo wakipata moja moto, moja baridi
Hapo sawa Masanja nae akiwa katika pozi la ukweli

1 comments:

Anonymous said...

Ebwana mateja naweza kupata contact za huyo dada kwani nilipotezana nae kitambo kweli.please nisaidie
wako Billduke