Social Icons

Saturday, March 12, 2011

HALI NI MBAYA JAPAN

nyumba za makazi ya watu zikiwa katikati ya maji

baadhi ya magari na ndege zikiwa zinaelea juu ya maji

baadhi ya barabara hazikuweza kuvumilia tikisiko hilo

maji yakitiririka kwa kasi kuelekea kwenye nyumba za makazi


Kulia ni picha inayoonesha jengo moja katika jiji la Tokyo likiwaka moto kufuatia tetemeko hilo

0 comments: